Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Ahamada na Gibril watua kambini Azam

Ali Ahamada Gibril Ali Ahamada na Gibril watua kambini Azam

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kuwa nyota wake wa Kimataifa wa Senegal Gibril Sillah ameshajiunga na wachezaji wenzake mazoezini huko nchini Tunisia kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa 2023/24.

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kuwa nyota wake wa Kimataifa wa Senegal Gibril Sillah ameshajiunga na wachezaji wenzake mazoezini huko nchini Tunisia kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa 2023/24. Mlinda mlango Ali Ahamada nae ameshaanza mazoezi kambini hapo akitokea mapumzikoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live