Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alhassan Yusuf kuchukua nafasi ya Ndidi Nigeria

Alhassan Yusuf Goteborg Solo Action 1140 Alhassan Yusuf

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Super Eagles (Timu ya Taifa ya Nigeria) Jose Peseiro anatazamia kumuongeza kiungo wa klabu ya Royal Antwerp Alhassan Yusuf kwenye kikosi chake kitakachoshiriki AFCON 2023 nchini Ivory Coast.

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Super Eagles (Timu ya Taifa ya Nigeria) Jose Peseiro anatazamia kumuongeza kiungo wa klabu ya Royal Antwerp Alhassan Yusuf kwenye kikosi chake kitakachoshiriki AFCON 2023 nchini Ivory Coast. Alhassan atachukua nafasi ya kiungo wa Leicester City Wilfred Ndidi aliyeumia jana wakati anaitumikia klabu yake ya Leicester City inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live