Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Algeria yaiweka pabaya Cameroon kufuzu Kombe la Dunia

Slimani Islam Islam Slimani

Sat, 26 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uwanja wa Douala Jijini Douala, wenyeji, Cameroon wamechapwa 1-0 na Algeria, bao pekee la mshambuliaji wa Sporting Lisbon ye Ureno, Islam Slimani dakika ya 40,

Uwanja wa Douala Jijini Douala, wenyeji, Cameroon wamechapwa 1-0 na Algeria, bao pekee la mshambuliaji wa Sporting Lisbon ye Ureno, Islam Slimani dakika ya 40, Katika mchezo mwingine wa kuwania kufuzu kwa Fainali hizo za Kombe la Dunia,Katika Uwanja wa Machi 26 Jijini Bamako, wenyeji, Mali wamechapwa 1-0 na Tunisia, bao la kujifunga la beki wa Standard Liège ya Ubelgiji, Moussa Sissako dakika ya 36.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live