Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Rais hakupaswa kuonekana kwenye Documentary, sio yake

Ngereza Yanga Alex Ngereza aichambua kwa uchache Documentary ya Yanga

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijipanga kwa uzinduzi wa Documentary itakayoonesha mafanikio makubwa ya Klabu hiyo kwa msimu uliopita leo Aosti 7 Jijini Da es Salaam.

Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3 Alex Ngereza amesema kuna makosa yamefanyika katika uandaaji wa kazi hiyo.

Katika kipende kidogo kilichorushwa na Yanga kinamuonesha Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said kwa takriban sekunde 20 jambo ambalo anasema si sahihi.

"Raisi wa Yanga hakupaswa kuonekana mwanzo kwenye documentary ila alipaswa kuanza kuonekana Kocha Nasridine Nabi na wachezaji wake mwishoni ndio angekuja kuonekana yeye na viongozi wengine kama watu wa ziada"

"Kitendo cha kuanza kuonekana yeye ni makosa kwasababu documentary inaonekana kwamba amezungumziwa yeye na sio Klabu"

Je una neno Lipi la kumwambia Ngereza?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: