Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Nitashangaa Aziz KI akibaki Yanga msimu ujao

Alex Ngereza X Aziz Ki Alex Ngereza: Nitashangaa Aziz KI akibaki Yanga msimu ujao

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Kiungo wa Yanga Raia wa Burkina Faso Stephen Aziz KI akizidi kuonesha makali katka Klabu ya Yanga msimu huu.

Hivi sasa mchezaji huyo anaongoza mbio za ufungaji akimuacha Kiungo wa Azam Feisal Salum mwenye mabao 16, Aziz KI amefikisha mabao 17.

Sasa Mchambuzi wa Michezo kutoka TV 3, Alex Ngereza amesema kwa kiwango alichokionesha mchezaji huyo hapaswi kubaki Yanga msimu ujao.

Akizungumza Alex Ngereza anasema;

"Nitashangaa sana kama Azizi ki ataendelea kubakia Yanga kwasababu Yanga ni timu ndogo Barani africa na haiwezi kumlipa fedha nyingi kama ambazo ataenda kulipwa na vilabu vikubwa barani africa ambavyo vinamhitaji"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: