Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Nimeota Yanga wamefungwa goli tano

Alex Ngereza  X Pacome Alex Ngereza: Nimeota Yanga wamefungwa goli tano

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga ikijiandaa kwa mchezo wake wa kwanza baada ya miaka 25 wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria.

Mwandishi wa michezo kutoka kituo cha TV3 Alex Ngereza ni kama haipi nafasi Yanga kuibuka na ushindi katika mchezo huo na badala yake anaona watapoteza mchezo huo kwa kipigo kikubwa.

kupitia ukurasa wake wa Instagram Ngereza ameandika;

"Nimeota Yanga wamefungwa goli tano hizi ndoto zingine za hovyo sana"

Je unamuona Yanga akitoboa leo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: