Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Ngereza: Aziz KI hafikii uwezo wa Ajib akiamua kuacha uvivu

Aziz KI X Ajib Alex Ngereza: Aziz KI hafikii uwezo wa Ajib akiamua kuacha uvivu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha katika kikosi cha Yanga.

Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3 Alex Ngereza anasema kiwango cha Aziz KI sio cha ajabu kiasi kwamba watu wnapaswa kumzungumzia kiasi hicho huku akisisitiza kuwa Kiungo wa Coastal Union Ibrahim Ajib ana uwezo mkubwa kisoka kuliko Aziz KI.

Alex Ngereza anasema;

Ukiondoa uvivu Azizi ki hana kitu cha ajabu kumzidi Ibrahim Ajib kwanzia passing na jicho la kutengeneza nafasi kwa bahati mbaya mwenetu ni bishoo sana uwanjani lakini akiamua Azizi ki haokoti kitu kwake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: