Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Luambano: Kumbukumbu ni Mataji, hayo mengine ni katika kujifariji

Alex X Mataji Alex Luambano: Kumbukumbu ni Mataji, hayo mengine ni katika kujifariji

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakitamba kwa kandanda safi waliloonesha katika michuano ya Ngao ya Jamii 2023.

Watani zao Simba wao wamenyakua Kombe licha ya kutocheza mpira wa kuvutia ukilinganisha na Yanga.

Lakini hilo limeonekana kuwa ni namna ya kujificha kwa Timu ya Yanga kwa kulikosa Kombe la Ngao ya Jamii alilolibeba miaka miwili mfululizo.

Akizungumza Mtangazaji nguli wa Michezo Alex Luambano anasema,

“Katika mpira matokeo na mataji ndio yanayobaki kwenye kumbukumbu hakuna takwimu inayobaki kwamba ulipiga pasi kwa kisigino ,watu wanatafuta kujifariji tu”

Je una neno gani la kumpa Luambano?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: