Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alejandro Garnacho aipa ushindi Man United

Alejandro Garnacho Alejandro Garnacho

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Alejandro Garnacho dakika ya 17 limetosha kuipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa mwisho was Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Reale Arena huko Donostia-San Sebastián.

Bao pekee la Alejandro Garnacho dakika ya 17 limetosha kuipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa mwisho was Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Reale Arena huko Donostia-San Sebastián. Man United inamaliza na pointi 15 sawa na Real Sociedad ambao wameongoza kundi hilo kwa wastani wa mabao na zote zinasonga mbele huku Sheriff na Omonia Nicosia safari yao ikiishia hapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live