Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alcantara agoma kuondoka Liverpool

Thiago Alcantara Liverpool Contract Kiungo wa kati wa Liverpool Thiago Alcantara

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kati wa Liverpool Thiago Alcantara hana nia ya kuondoka Liverpool katika dirisha hili dogo.

Thiago Alcantara bado ana hamu ya kumaliza msimu huu akiwa na Liverpool.

Mkataba wa sasa wa Thiago unaisha msimu wa joto, ina maana kwamba anaruhusiwa kuzungumza na vilabu vingine na kuna baadhi ya klabu zinavutiwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.

Miamba wa Brazil, Flamengo wamezungumza na wawakilishi wake na klabu kutoka Saudi Pro League pia vimezungumza na wawakilishi wa Thiago, wote wanataka kupata saini yake mwezi huu jambo ambalo kama lina ugumu kwa upande wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live