Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alama tatu kesho ni lazima - Miguel Gamondi

Alama Tatu Kesho Ni Lazima   Miguel Gamondi Alama tatu kesho ni lazima - Miguel Gamondi

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi, amesema kesho wana kila sababu ya kushinda dhidi ya Medeama.

"Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua inayofuata, najua sio rahisi ila tutaweza kesho kupata alama, tumepata alama moja kwenye kundi ila timu yetu imefanya vizuri kwenye michezo iliyopita”

“Leo ndio nitajua kwenye maandalizi yetu ya mwisho nini nitaenda kufanya ila alama tatu za kesho ni lazima kwa sababu ni muhimu kwetu."

Yanga kesho wanacheza mchezo huo muhimu ugenini wa hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kufungwa 3-0 na CR Belouizdad na kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live