Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Nassr yatupwa nje na wachovu

R4D4IG4YF5BLVK6662I2OQANS4 Al Nassr yatupwa nje na wachovu

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr jana iliondoshwa kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 120 kumalizika (4-4) kwenye Ligi ya mabingwa Barani Asia na Al ain ya UAE.

Klabu ya Al Nassr jana iliondoshwa kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 120 kumalizika (4-4) kwenye Ligi ya mabingwa Barani Asia na Al ain ya UAE. Al Nassr imeondoshwa na klabu yenye thamani ndogo zaidi kwenye kikosi chao kutoka falme za kiarabu, Al ain ina thamani ya €34.40M zaidi ya (Tsh Bilioni 94) na Al Nassr ina thamani ya €144.03.M zaidi ya (Tsh Bilioni 400).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live