Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Nassr wanamtaka El Shenawy

Mohamed El Shenawy Kipa El Shenawy

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia inafanya mazungumzo na @alahly ya Egpty ???????? Ili kupata saini ya Golikipa wao namba moja Mohamed El Shenawy.

Al Nassr wamevutiwa na kiwango alicho Onyesha El Shenawy katika michuano ya FIFA Club World Cup.

Hivyo wameona huyu anafaa kuwa mrithi wa Golikipa wao namba moja David Ospina ambaye majeraha yamemwandama tangu atue ndani ya timu hii.

Al Nassr wapo tayari kutoa mpunga mrefu Kwa Dora za Marekani watawapa Al Ahly Sporting Club $10m Ili kupata saini ya El Shenawy mazungumzo yanaendelea.

El Shenawy mkataba wake ndani ya Ahly unatisha June 2025 . #Alahly #YallaYaAhly #Alnassr.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live