Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Nassr baada ya Ronaldo, anayefuata ni Hazard

Hazard Rudi Al Nassr baada ya Ronaldo, anayefuata ni Hazard

Sun, 15 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Al Nassr ya Saudia Arabia, Rudi Garcia amekutana na Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Eden Hazard ofisini kwake nchini humo.

Al-Nassr ambayo hivi karibuni ilimsajili Cristiano Ronaldo, sasa inataka kumsajili Eden Hazard, Kocha Rudi Garcia ambaye anamfahamu Hazard toka akiwa katika klabu ya Lille, mazungumzo hayo ni sehemu ya kumshawishi ajiunge msimu huu wa joto.

Utakumbuka, Hazard ameripotiwa kugoma kuondoka Real Madrid na kudai atabaki klabuni hapo kugombea namba kwenye kikosi cha Carlo Ancelotti hadi mwisho wa mkataba wake 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live