Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Merrikh yaiwekea ngumu Azam FC kwa Mohamed Mustapha

Mohamed Mustafa D Mohamed Mustapha

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klab ya Al mereikh ya Sudan, imekataa ofa ya klabu ya Azam FC ya dola elfu 50 ambazo ni sawa na Tsh.milioni (129,634.297) kuwa ada ya uhamisho wa kudumu wa Mlinda lango wao Mohamed Mustafa.

Klab ya Al mereikh ya Sudan, imekataa ofa ya klabu ya Azam FC ya dola elfu 50 ambazo ni sawa na Tsh.milioni (129,634.297) kuwa ada ya uhamisho wa kudumu wa Mlinda lango wao Mohamed Mustafa. Golikipa Mohamed Mustafa yupo Azam kwa Mkopo na Klabu hiyo imeonekana kuvutiwa na huduma yake na sasa wanamtaka jumla.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live