Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal yashusha vyuma viwili

Adam Bossu Jean Claude Girumugisha Al Hilal yashusha vyuma viwili

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal ya Sudan imethibitisha kuwasajili nyota wawili ambao wanachezea nafasi ya ushambuliaji kwa ajili ya msimu huu wa 2023/23.

Pichani kulia ni Adam Bossu (23) raia wa Kidemokrasia ya Congo amesaini mkataba wa miaka mitatu akitokea TP Mazembe ya DRC.

Pichani kushoto ni Jean Claude Girumugisha (19) raia wa Burundi amesaini mkataba wa miaka minne akitokea Aigle Noir ya nchini kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live