Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal yapeleka majina 40 CAF

Al Hilal Omdurman HG Al Hilal yapeleka majina 40 CAF.

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan imethibitisha kuwasilisha orodha ya wachezaji wake watakaokuwa sehemu ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2023/24 kwenye Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF.

Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan imethibitisha kuwasilisha orodha ya wachezaji wake watakaokuwa sehemu ya kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2023/24 kwenye Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF. Kikosi hicho chenye jumla ya wachezaji 40 ndio wataipambania Al Hilal Omdurman kwenye Mashindano mbalimbali kwenye msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live