Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal wampa Messi Ofa ya pesa ndefu

Messi Hilal Saudia Al Hilal wampa Messi Ofa ya pesa ndefu

Wed, 5 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa PSGna Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi amepokea Ofa Kutoka klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia ambapo inatajwa atalipwa

Tsh Trilioni 1, Bilioni 25 na Milioni 322 Laki 4 na elfu 80 ( 1,025,322,480,000) Kwa Mwaka

Taarifa za ndani zinasema Messi bado anahitaji kucheza Soka La Ulaya mpaka Copa America 2024.

Klabu ya Barcelona wanatazamiwa kumrudisha nyota huyo wa Soka kam mambo yatakwenda vizuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live