Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal wamnyima Kombe Ronaldo, Mane

Al Hilal SFC V Mumbai City (4) Wachezaji wa Kikosi cha Al Hilal

Sat, 11 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia kwa mara ya 19 huku wakiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikia pointi 89 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote.

Klabu ya Al Hilal imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia kwa mara ya 19 huku wakiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikia pointi 89 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote. Al Hilal wametwaa ubingwa huu bila kupoteza mchezo wowote katika mechi zote 31 walizocheza wakishinda mechi 29 na kupata sare mechi mbili tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live