Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal waivuruga EPL, Wahamia kwa Koulibaly

Koulibaly Kalidou Kalidou Koulibaly,

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al-Hilal imeripotiwa kufikia makubaliano binafsi na beki kisiki wa Chelsea, Kalidou Koulibaly, 31, na kwa sasa inapambana kuishawishi Chelsea ikubali kuwauzia.

Koulibaly ambaye hajafanya vizuri sana kwa msimu uliopita anadaiwa kupewa ofa maradufu ya mshahara ambao anaupata kwa sasa Chelsea.

Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2026. Msimu uliopita alicheza mechi 33 za michuano yote.

Tayari Al Hilal wameshakamilisha usajiliwa Kiungo wa Kireno Ruben Neves kutoka Wolves.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live