Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Hilal vs Yanga: Mashabiki wafurika kununua tiketi

Mashabiki Al Hilal Tiketi Mashabiki wa Al Hilal wakinunua tiketi

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa soka Sudan wameendelea kununua tiketi kwa wingi leo Oktoba 14, kwa ajili ya kuishuhudia Al Hilal ikicheza dhidi ya Yanga Jumapili Oktoba 16 katika uwanja wa Al Hilal Omdurman.

Mashabiki wa soka Sudan wameendelea kununua tiketi kwa wingi leo Oktoba 14, kwa ajili ya kuishuhudia Al Hilal ikicheza dhidi ya Yanga Jumapili Oktoba 16 katika uwanja wa Al Hilal Omdurman. Mchezo huo wa Al Hilal dhidi ya Yanga ni wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya wikiendi iliyopita katika Uwanja wa Mkapa kutoka sare ya goli 1-1 mchezo wa mkondo wa kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live