Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly yajipigia Medeama

Al Ahly Medema Al Ahly yajipigia Medeama

Sun, 26 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Klabu ya Al Ahly wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Medeama ya chana katika dimba la Cairo na kukwea kileleni mwa kundi D la Yanga SC.

MSIMAMO KUNDID 1. Al Ahly (3) 2, CR Belouizdad (3) 3. Yanga SC (0) 4. Medeama (0)

MATOKEO MENGINE CAFCL ES Tunis 2-0 DEtoile du Sahel Petro de Luanda 1-0 Al Hilal

Wiki ijayo Desemba 2, 2023, Yanga SC itakuwa nyumbani Benjamin Mkapa dhidi ya Al Ahly huku Wekundu wa Msimbazi wakiwa ugenini dhidi ya Jwaneng Cralaxy siku hiyo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live