Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly washusha presha kurejea kwa Percy Tau

Al Ahly Percy Tau Repond Al Ahly washusha presha kurejea kwa Percy Tau

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuiongoza Bafana Bafana kutwaa Bronze Medals kunako michuano ya AFCON 2023 pale Ivory Coast, Percy Tau jana ameanza mazoezi na kikosi Cha Al Ahly Sporting Club.

Nyota huyu ambaye msimu uliopita alihusika katika mabao 10 ndani ya CAF Champions League Kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa ndani msimu huu moto wake bado haujawaka ndani ya michuano hii.

Kocha wa Ahly Marcel Koller amefurahia urejeo wa nyota huyu Kwa sababu Tau nj Engine ya timu wakati inasaka bao yeye ndo bwana mipango.

Percy Tau msimu huu amefunga bao Moja tuu ndani ya dakika 300 alizocheza akiwa na uzi wa Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live