Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly wanaijua na kuithamini project ya Yanga - Arafat

Arafat Pic Data Arafat Haji.

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kauli kuwa Al Ahly wanaiona Yanga na wao wakicheza Fainali ,leo Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji anasema haikuishia Dar bali hadi Cairo

“Tukiwa tunacheza na Al Ahly Cairo kuna watanzania walisafiri kutoka Oman kuja kuiangalia mchezo ule na wao wakiwa mtaani wameisikia kauli inayofanana na hiyo kutoka kwa mashabiki wa Al Ahly (Yanga na Al Ahly zitacheza Fainali”

“Hii inaonesha ni kwa kiwango gani Al Ahly wamethamini na kuelewa project ya Yanga”

“Msimu huu wa Champions League ni mara ya kwanza Tanzania imengizq timu zaidi ya moja kwenye Robo fainali , na hivi karibuni tunekuwa na kauli kwamba utani wetu ndio faida yetu , kushiriki katika hatua hizi ni faida kubwa sana kwa Taifa.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live