Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly wanahasira vibaya mno

Wachezaji Ahly.jpeg Al Ahly wanahasira vibaya mno

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al Ahly wapinzani wa Simba katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika wanatarajià kuwasili Bongo Machi 27 2024 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuwakabili Simba Machi 29.

Simba wanakazi ngumu dhidi ya Al Ahly ambao wakifika katika hatua za mtoano huwa wanakuwa na hasira vibaya mno katika mapigo huru na spidi ambapo ugenini huwa wanatumia mbinu ya kujilinda Zaidi na kushambulia kwa kushtukiza.

Wakiwa nyumbani sasà balaa kubwa kweli katika kutimiza Jambo Lao ikumbukwe kwamba Simba waliwahi kufungwa mabao 5-0 katika hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live