Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly waitunishia msuli Fernebance

Aliou Dieng Aliou Dieng

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miamba sa soka Barani Afrika, Club ya soka ya Al Ahly, wameigomea ofa iliyotumwa na Club ya soka ya Fernabache kutoka Uturuki ambapo walikuwa wanamtaka Kumsajili nyota wa kimataifa wa Mali Aliou Dieng.

Miamba sa soka Barani Afrika, Club ya soka ya Al Ahly, wameigomea ofa iliyotumwa na Club ya soka ya Fernabache kutoka Uturuki ambapo walikuwa wanamtaka Kumsajili nyota wa kimataifa wa Mali Aliou Dieng. Al Ahly wameitaarifu Klabu hiyo kuwa Aliou Dieng hauzwi, kwa kile wanachodai kwamba wana msururu wa michuaoni Mingi Msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live