Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly waishika Simba pabaya usajili wa Miquissone, wataka mabadilishano

Manula X Miquissone.jpeg Aishi Manula yuko katika rada za Al Ahly

Sun, 18 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba wakipambana usiku na mchana kumrudisha winga Jose Luis Miquissone kunako klabu ya Msimbazi.

Sasa miongoni mwa masharti ambayo klabu ya Al Ahly wameyatoa ni kwamba wanamtaka mlinda mlango namba moja wa klabu hiyo Aishi Manula.

Al Ahly wako tayari kumuachia Miquissone bila dau lolote ila tu kuwe na mabadilishano na mlinda mlango huyo aliefanya vyema na Simba katika michuano ya CAF miaka ya karibuni.

Je, Simba watakuwa tayari kwa masharti hayo, ikizingatiwa wanapambana kuimarisha kikosi chao wakati huu wanapojiandaa na hatua ya Makundi Kombe la Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live