Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly waanza safari kuifata Yanga

Ahly Safari Msafara wa Kikosi cha Al Ahly

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Al Ahly kimeanza safari kutoka nchini Misri kwenda Tanzania tayari kwa mechi ya pili hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga itayopigwa Desemba 2 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Mkapa.

Kikosi cha Al Ahly kimeanza safari kutoka nchini Misri kwenda Tanzania tayari kwa mechi ya pili hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga itayopigwa Desemba 2 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Mkapa. Wananchi mmejiandaa sawa sawa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: