Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly vs Simba Sc ni maalum kwa ajili ya Palestina

IMG 4282 Ahly 11 CAF.jpeg Al Ahly vs Simba Sc ni maalum kwa ajili ya Palestina

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al-Ahly imetangaza kuwa, mchezo wao wa marudiano wa AFL dhidi ya Simba SC utakaochezwa Egypt wameu-dedicate kwa nchi ya Palestina.

Wamewataka mashabiki wao kujitokeza kwa wingi Jumanne 24 October 2023 kwa sababu kiingilio cha mchezo huo watakipeleka Nchini Palestine kusaidia wahanga wa vita inayoendelea dhidi ya Israel.

Wamewataarifu mashabiki wao kuwa ujio wao uwanjani ni mchango wao kwenda Nchi takatifu ya Kiislamu ya Palestina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live