Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly nao wapiga tizi usiku kama Simba

Al Ahly Nao Wapiga Tizi Usiku Kama Simba Al Ahly nao wapiga tizi usiku kama Simba

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Al Ahly kimefanya Mazoezi saa 3 usiku katika viwanja vya Gymkana jijini Dar Es Salaam kuelekea kwenye mechi yao ya CAF CL dhidi ya Mnyama Simba Sc, Ijumaa hii.

Simba wao waliweka kambi visiwani Zanzibar ambapo walifanya mazoezi usiku wa saa 3 aambao ndio muda wa mechi yao dhidi ya Al Ahly kabla ya kurejea jijini Dar kuendelea na mazoezi.

Mechi hiyo Itapigwa Ijumaa hii Machi 29 saa 3 usiku katika dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live