Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly kukipiga leo, Yanga wapo Zanzibar

Al Ahly Medema Al Ahly kukipiga leo, Yanga wapo likizo

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Ahly hii leo inacheza mchezo wake wa Ligi kuu nchini Misri majira ya saa mbili usiku dhidi ya Smouha SC kabla ya kuianza safari ya kuja nchini.

Al Ahly ina kibarua kizito mbele ya Yanga December 2, kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Unadhani kwanini timu zetu hazina ratiba ya kucheza michezo ya Ligi hivi sasa ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live