Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly kucheza kiporo chake na Medeama leo, Yanga wanaomba nani apigwe?

Al Ahly Kucheza Kiporo Chake Na Medeama Leo, Yanga Wanaomba Nani Apigwe Al Ahly kucheza kiporo chake na Medeama leo, Yanga wanaomba nani apigwe?

Fri, 16 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo hii utapigwa Mchezo wa kiporo wa Ligi ya mabingwa barani Afrika kwenye kundi D kati ya CR Belouizdad dhidi ya Al Ahly mchezo utakaopigwa Majira ya saa nne Usiku

Ikumbukwe tayari Yanga na Medeama kutoka kwenye kundi hilo wameshacheza mizunguko Minne huku watakaocheza leo wakiwa wamecheza mizunguko mitatu

Namna kundi lilivyo kabla ya Mchezo wa Leo

1. Al Ahly 5 Pts

2. Yanga 5 Pts

3. Belouizdad 4 Pts

4. Medeama 4 Pts

Vipi leo Yanga unamuombea nani apate matokeo? Tupe maoni yako kwenye commenti hapo chini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live