Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly jeuri bwana, wakataa Bilioni 14 za wazungu

Mohamed Abdelmonem El Ahly 2023 1698842266 120902 Mlinzi wa Kati wa Al Ahly Mohamed Abdelhmonem

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa Al Ahly, Mohamed Abdelhmonem (25) amekuwa Lulu sokoni baada ya klabu ya AS Monaco kutoka Ufaransa kuwasilisha ofa ya Tsh 14 Bilioni wakihitaji huduma yake.

Uongozi wa Al Ahly umetupia mbali ofa hiyo wakidai haiwezi kununua huduma ya Mlinzi huyo kwasababu ni ndogo,

Al ahaly wanaweka wazi kuwa timu itakayohitaji huduma ya Mlinzi Huyo iandae dau linalofikia Tsh.20 Bilioni kama sehemu ya kuvunja mkataba wa kitasa,

Wakati AS MONACO ikijiandaa kuwasilisha ofa nyingine tayari KLabu ya Galatasaray imejiandaa kuwasilisha ofa nono itakayoipiku ofa ya AS MONACO.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live