Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly: Yanga watatukoma

Aziz Ki Al Ahly Yanga.jpeg Yanga vs Al Ahly

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Al Ahly Sporting Club amesema kukaa muda mrefu kumechangia timu yake kucheza vibaya katika mchezo wa hapo Jana usiku dhidi ya CR Belouizdad pale Algeria.

Marcel Koller amesema wachezaji wake hawakuwa vizuri kiuchezaji Kwa sababu baada ya kizidiwa maeneo mengi na wapinzani wao Hali iliyo sababisha washindwe kupiga shuti lililolenga lango (on target) ndani ya Dakika tisini.

"Nafikiri mchezo ujao tutakuwa bora zaidi kiuchezaji Kwa sababu tumeona makosa yetu hivyo tunayafanyia kazi Ili michezo yetu ijayo tufanye vizuri zaidi"

Mechi mbili zijazo Al Ahly watachuana na Mediama sambamba na Yanga kunako michuano ya CAF Champions League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live