Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al Ahly: Lengo letu ni kushinda kila mashindano

Mohammed El Shenawy.jpeg Nahodha wa Al Ahly, Mohammed El Shenawy

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba ikijipanga kuhakikisha inasonga mbele kwa hatua inayofuata ya Mashindano ya African Football League.

Wapinzani wao katika hatua hiyo Klabu ya Al Ahly wamesema wao lengo lao ni kushins kila michuano ambayo wanashiriki msimu huu.

Akizungumza katika Mkutano na waandishi wa Habari Nahodha wa Al Ahly,Mohammed El Shenawy amesema;

"Tnafahamu hii ni michuano mipya, wengi wanataka kuweka rekodi ila Al Ahly imejipanga kushinda kila michuano inayoshiriki"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live