Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akipigwa tu njia nyeupe

Jose Mourinho 3 Kocha wa AS Roma Jose Mourinho

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Jose Mourinho amepewa mchezo wa kesho dhidi ya Cagliari endapo atapoteza atafutwa kazi mara moja .

Conte anatajwa kama mrithi wa Mourinho ambae anaonekana kuanza vibaya msimu ndani ya AS Roma.

Mourinho katika Serie A msimu huu

Mechi Sita

Kapigwa tatu (3)

Sare mbili (2)

Ushindi moja (1)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live