Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akademi Azam yailipa Stars

Jjjjjjj Akademi Azam yailipa Stars

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Achana na matokeo iliyopata timu ya taifa ya Tanzania kwenye michuano ya kufuzu mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 ilipoishia hatua ya makundi na kwa kutoa sare ya bila kufungana na DR Congo, kuna idadi ya wachezaji sita wa Azam walikuwa gumzo.

Kwenye kundi F Morocco ilitangulia hatua ya 16 bora ikidikisha pointi saba na Congo iliyokuwa na pointi tatu, Zambia na Stars zikitolewa kwa kukusanya pointi mbili.

Kwenye kikosi kilichoanza jana chini ya Kocha Hemed Suleiman 'Morocco' na Juma Mgunda takribani wachezaji sita walianza karia zao kutoka kwenye timu za vijana za timu hiyo.

Kipa namba moja wa Stars, Aishi Manula, Mohamed Hussein 'Tshabalala', Novatus Dismas, Himid Mao 'Ninja' na Simon Msuva ambao wote jana walikuwa na kiwango bora.

Chanzo: Mwanaspoti