Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajibu, Ngushi wapewa "Thank You" Coastal Union

Ibrahim Ajib Ajibu, Ngushi wapewa "Thank You" Coastal Union

Sun, 7 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuachana na nyota wake watatu ambao ni Haji Ugando Crispin Ngushi Na Ibrahimu Ajibu.

“Mlikuwa sehemu muhimu sana ya kikosi chetu, kujitoa kwenu kuipambania timu, hamasa ndani ya kikosi na uzoefu wenu vimekuwa msaada mkubwa ndani ya klabu yetu” imesema taarifa ya klabu hiyo.

“Hatuwezi kujivunia mafanikio tuliyoyapata bila kukumbuka mchango wenu wala hatuwezi kusahau jasho na damu mliyovuja, we ‘will miss you heroes,thank you legends,see you next time.’”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live