Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajib kupewa Unahodha Coastal Union

Ibrahim Ajib Migomba Dd Ibrahim Ajib

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ibrahimu Ajib nahodha Mpya wa kikosi cha Coastal Union, Soon atatangazwa kwa umma kusajiliwa kwake.

Kocha Zahera anaamini anafaa kuwa kiongozi wa Jeshi lake kuelekea msimu wa 23/24.

Kocha Mwinyi Zahera amewahi kufanya kazi na Ibrahim Ajib wakiwa katika Klabu ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live