Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajax wateua Kocha wa mpito

John Van T Schip John van ‘t Schip

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ajax imemteua nyota wake wa zamani John van ‘t Schip kama kocha mpya wa muda wa Ajax hadi tarehe 30 Juni, 2025.

Klabu ya Ajax imemteua nyota wake wa zamani John van ‘t Schip kama kocha mpya wa muda wa Ajax hadi tarehe 30 Juni, 2025. Hatua imekuja baada ya Klabu hiyo kumtimua aliekuwa Kocha wake Maurice Steijn kutokana na mfululizo wa Matokeo mabovu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live