Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajax wapata ushindi wa kwanza baada ya kupita miezi miwili

Ajax FC Winning.jpeg Ajax wapata ushindi wa kwanza baada ya kupita miezi miwili

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia leo Klabu ya Ajax imepata ushindi wa kwanza tangu mwezi wa nane ambapo walikuwa na mfululizo wa matokeo mabaya kwa zaidi ya mechi 10 .

Usiku wa kuamkia leo Klabu ya Ajax imepata ushindi wa kwanza tangu mwezi wa nane ambapo walikuwa na mfululizo wa matokeo mabaya kwa zaidi ya mechi 10 . Ushindi huo umekuja baada ya kuichapa FC Volendam magoli 2-0 ambayo yamewekwa kimiani na Bergwijn 57" na 89" Akpom akafunga bao la pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live