Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajax mambo magumu Uholanzi

Ajax Lost Ajax mambo magumu Uholanzi

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msimu huu Ajax imeanza vibaya katika michezo yake ya Ligi ambapo hadi hivi sasa imecheza michezo sita (6) ikivuna alama tano (5) pekee, hii imekuwa ni hali tofauti kabisa kwa Ajax.

Jana Jumapili wamepoteza tena mbele ya Az Alkmaar kwa magoli 2-1 kitu ambacho kimewafanya washuke hadi nafasi ya 16 ya msimamo wa Ligi.

Mambo ya kuibua na kuuza msimu huu yameanza kuwaendea ndivyo sivyo

Nini kinaitesa Ajax msimu huu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live