Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali yaua Kocha, Golikipa na Dereva Algeria

Mouloudia El Bayadh.jpeg Ajali yaua Kocha, Golikipa na Dereva Algeria

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Klabu ya MC El Bayadh inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria kimepata ajali mbaya Jumatano Desemba 20, 2023 wakati kikiwa njiani kuelekea kwenye mechi ya ligi na kupelekea vifo vya kocha msaidizi, Khaled Meftahi, mlinda mlango Zakaria Bouziani pamoja na dereva wa basi hilo.

Kikosi cha Klabu ya MC El Bayadh inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria kimepata ajali mbaya Jumatano Desemba 20, 2023 wakati kikiwa njiani kuelekea kwenye mechi ya ligi na kupelekea vifo vya kocha msaidizi, Khaled Meftahi, mlinda mlango Zakaria Bouziani pamoja na dereva wa basi hilo. MC El Bayadh FC ilikuwa safarini kuelekea mjini Tizi-Ouzou kwa ajili ya mchezo wa raundi ya 11 wa ligi dhidi ya JS Kablie siku ya Ijumaa katika dimba la Novemba 1, 1954.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live