Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aisha Masaka atua England

Aisha Masaka England Aisha Masaka atua England

Wed, 17 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Twiga Stars, Aisha Masaka amejiunga rasmi na timu ya wanawake ya Brighton inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake Uingereza.

Mshambuliaji wa Twiga Stars, Aisha Masaka amejiunga rasmi na timu ya wanawake ya Brighton inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake Uingereza. Timu hiyo imemtambulisha rasmi leo akitokea BK Hacken ya Sweden.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live