Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aisha Madaka anavyowatesa wazungu Ulaya

Masaka (15).jpeg Aisha Madaka anavyowatesa wazungu Ulaya

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Kimataifa wa Tanzania Aisha Masaka, amefunga mabao mawili jana kwenye ushindi wa mabao 4-0 waliopata timu yake ya @bkhackenofcl dhidi ya PITEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Sweden.

Masaka alifunga mabao hayo akitokea Benchi dakika ya 49 na 59. Sasa Masaka anakuwa amefunga mabao 5 kwenye mechi tatu za hivi Karibuni akiwa na Manjano hao wa Sweden.

Hivyo basi, anakuwa amejipa zawadi nzuri ya Birthday yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live