Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed awakejeli Yanga ishu ya Kibu Denis

Kibu Simba SC .jpeg Ahmed awakejeli Yanga ishu ya Kibu Denis

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameshusha kijembe kwa watani tao Yanga SC baada ya tettes jurai kuwa wanamhitaji nyota wao, Kibu Denis.

Kupitia ukjurasa wake wa Instagram, Ahmed ameweka picha ya Kibu. na kushusha ujumbe huu na kuwataka wana-Simba wafike kwa wingi Benjamini Mkapa jijini Dar kuishangilia timu yao;

"Tukishamsajili tutabandika Bango la uyo mchezaji kwenye Jengo la karibu na klabu yao, (neno kali la dharau)

"Mashine iyo hapo Simba milelee.

"Mnyama Kibu Dee amerejea kuipambamia Simba iende Champions League hii leo

Wana Lunyasi ndio ya mwisho twendeni tukaipe support timu yetu tutimize lengo moja ambalo lipo mkononi mwetu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live