Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed atetemesha Vilabu Ligi Kuu (+Video)

Ahmed Simba Ariport.png Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally

Fri, 18 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC, Jioni ya leo wameondoka kuelekea nchini Niger kwenda kukipiga na klabu ya US Gendermarin Mchezo wa hatua ya Mkaundi Kombe la Shirikisho.

Sasa wakati wakiwa Uwanja wa ndege Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametumia wasaa huo kuacha ujumbe kwa Vilabu 15 vinavyoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ahmed kwa majigambo ametoa ujumbe kuwa watakaporudi kutoka katika michezo hiyo ya Kombe la Shirikisho basi hata dozi zao zitakuwa ni kwa viwango vya michezo ya CAF kwa wapinzani wao.

Sikiliza kwa kirefu alichokizungumza Ahmed Ally katika video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by SALEH JEMBE SPORTS (@jembesports)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live