Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed: Yanga wamshukuru Mungu, tulipanga kuwafanya kitu mbaya

Ahmed Ally Press Leo.jpeg Ahmed Ally: Yanga wamshukuru sana Mungu, tulipanga kuwafanya vibaya Mapinduzi

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amewatumia salam Yanga kwamba, wamshukuru sana mtu aliyewashauri wajivunje kwenye Mapinduzi Cup na kutolewa kwenye mashindano hayo!

Ahmed amesema, Simba ilipanga kuwafanyia umafia ambao ingewachukua muda mrefu sana mashabiki wa Yanga kusahau ambacho kingewakuta Mapinduzi Cup.

Lakini pia hakuacha kuwazungumzia Azam FC ambao pia wameondolewa kwenye mashindano hayo baada ya kufungwa na Singida Fountain Gate kwenye mchezo wa Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live