Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally awazodoa Yanga kuchapwa 2-1 na Ihefu

Image 115 Ahmed Ally.png Ahmed Ally awazodoa Yanga kuchapwa 2-1 na Ihefu

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameandika...

"Walikua wanalilia tuwaoneshe goli letu lililotupeleka Makundi, sasa tuwaambie tuu goli lililotupeleka makundi limefungwa na mchezaji wetu kipenzi wa zamani Charles Ilanfya! Enhee kuna swali jingine??!"

Hiyo ni baada ya Yanga SC kupoteza kwa 2-0 dhidi ya Ihefu FC hapo jana Oktoba 4, 2023 na goli la ushindi likiwekwa kimiani na Charles Ilanfya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live