Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally awataka mashabiki Simba waanze upya

Ahmed Ally: Twendeni Uwanjani Hata Kama Tuna Hasira.jpeg Ahmed Ally awataka mashabiki Simba waanze upya

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly amewataka mashabiki waongeze imani kwa ‘timu’ hiyo licha ya kupata matokea yasiyoridhisha hivi karibuni.

Ahmed ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameandika ujumbe wa kuwaomba mashabiki wa #Simba kuipa imani tena ‘timu’ yao kwani jana wamekuwa na kikao kizito na wote wamekubaliana kubalidika mmoja mmoja kila eneo lake.

‘Klabu’ hiyo ilikaa kikao kizito siku ya jana kujadili namna ‘timu’ yao inavyoenda kutokana na matokeo yasiyoridhisha na kufikia muafaka wa kuanza ukurasa mpya kwa kujipanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live